Kuhuhu kuomba kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti

atomic clock

Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
35
Reaction score
9
Habari za mida hii wadau?
Ninaomba kwa anaejua ni lini wanaotaka kujiunga na ualimu wa shule za msingi wanatakiwa kujaza fomu za maombi ya kujiunga na vyuo vya serikali anijuze. Asanteni sana.
 
Wakuu hata mimi naomba kujua ni lini form zitawekwa online maana nina dogo hapa anahitaji kujiunga na chuo cha ualimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…