atomic clock
Member
- Mar 30, 2014
- 35
- 9
Habari za mida hii wadau?
Ninaomba kwa anaejua ni lini wanaotaka kujiunga na ualimu wa shule za msingi wanatakiwa kujaza fomu za maombi ya kujiunga na vyuo vya serikali anijuze. Asanteni sana.