Kuhusiana na majamboz

bichwa72

Member
Joined
May 28, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Tatizo langu ninapofanya tendo la ndoa mara moja mara ya pili inaniwiya vigumu wakati hamu bado nakuwa nayo naomba msaada.
 
Natafuta mchumba mwenye wa kike umri kati ya 20 - 28 popote alipo awasiliane nami.
 
Tatizo langu ninapofanya tendo la ndoa mara moja mara ya pili inaniwiya vigumu wakati hamu bado nakuwa nayo naomba msaada.
Pole sana bichwa72 na napenda kukujulisha kuwa hauna tatizo kubwa bali yawezekana tu ni kutokana na stress au kutokuwa tayari kwa ajili ya hilo jambo. Pia hujaweza kueleza zaidi limechukua muda gani na hatua gani ulishawahi kuchukua au labda unafikiri kuna jambo gani lingine litakuwa limesababisha hiyo hali kutokea. Utakapokuwa umetoa maelezo mazuri zaidi nitaweza kukusaidia zaidi Mr.
Yapo mambo mengine pia huchangia hiyo hali mfano sigara sana, madawa ya kulevya, utumiaji mkubwa wa madawa ya pharmacy, kama mtu alishawahi kufanya sana punyeto, ulevi, magonjwa kama kisukari
 
Tatizo langu ninapofanya tendo la ndoa mara moja mara ya pili inaniwiya vigumu wakati hamu bado nakuwa nayo naomba msaada.

Hakikisha hiyo mara ya kwanza counts. Mtaarishe mwenzio vya kutosha ili aridhike katika huo mkupuo wako wa kwanza. IT IS NOT THE QUANTITY BUT THE QUALITY that matters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…