Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana bichwa72 na napenda kukujulisha kuwa hauna tatizo kubwa bali yawezekana tu ni kutokana na stress au kutokuwa tayari kwa ajili ya hilo jambo. Pia hujaweza kueleza zaidi limechukua muda gani na hatua gani ulishawahi kuchukua au labda unafikiri kuna jambo gani lingine litakuwa limesababisha hiyo hali kutokea. Utakapokuwa umetoa maelezo mazuri zaidi nitaweza kukusaidia zaidi Mr.Tatizo langu ninapofanya tendo la ndoa mara moja mara ya pili inaniwiya vigumu wakati hamu bado nakuwa nayo naomba msaada.
Tatizo langu ninapofanya tendo la ndoa mara moja mara ya pili inaniwiya vigumu wakati hamu bado nakuwa nayo naomba msaada.