Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kama akipatikana mtu anayeweza kukuelezea kwa usahihi tarahe,muda na namna ambayo utakufa. Na ukahakikisha kabisa kutokana na watu 1000 plus ambao aliwatabiria na ikwa kweli kwa asilimia 100.
Ukapewa wazo nawe uende angalia Hatima yako. je ungependa uende kufahamu utakufaje na utakufa lini? Kwa nini?
Ukapewa wazo nawe uende angalia Hatima yako. je ungependa uende kufahamu utakufaje na utakufa lini? Kwa nini?