Inawezekana kabisa mkuu.. kama gari zinatumia engine ambayo ni the same model hata kama gari ni tofauti inawezekana kabisa ukatoa engine huku ukapeleka kule. Mfano Kuna engine zinaitwa 1hdt zipo pia kwenye coaster na cruiser unaweza ukahamisha toka huku kwenda kule