Kuhusu 1HZ

Kuhusu 1HZ

fredo fred

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
748
Reaction score
1,615
Habarini wakuu !!!!

Naomba kujuzwa hii engine ya 1hz ipo kwenye landcruiser lakini pia ipo na kwenye toyota coaster.

Je kuna uwezekano wa kutoa hiyo engine kwenye coaster halafu ikawekwa kwenye cruiser ? Au ikatolewa kwenye cruiser then iwekwe kwenye coaster ?

Vipi kuhusu Perfomance ya gari itabaki vile vile ?

[emoji1488]View attachment 1635963View attachment 1635962
800px-1989_Toyota_1HD-T_Type_engine_front.jpg
 
Inawezekana kabisa mkuu.. kama gari zinatumia engine ambayo ni the same model hata kama gari ni tofauti inawezekana kabisa ukatoa engine huku ukapeleka kule. Mfano Kuna engine zinaitwa 1hdt zipo pia kwenye coaster na cruiser unaweza ukahamisha toka huku kwenda kule
 
Shukrani
 
Back
Top Bottom