Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini wasingetoa online kama vyuo vingine? Halafu eti ndio best university mpaka aibu doo
Dah kweli kaka mfano sisi kila kitu tumekipata Online tena safi kabisa.
wewe upo chuo gani?
Ha ha ha Udom (weledi umezingatiwa)
Muwe mnaacha uongo mbona toka tar 12septemba wametoa.
bora hujaenda udsm maana huko mbele na wewe ungekuwa kama kina mwigulu nchemba
kwa atakae penda kwenda kuchukulia chuoni,zitaanza kutolewa tar 17/09/2012,kama uko mkoani inabidi hadi chuo kifunguliwe.kwa maelezo zaidi,tembelea www.udsm.ac.tz
kwanini wasingetoa online kama vyuo vingine? Halafu eti ndio best university mpaka aibu doo
N mawazo yako 2 kaka!!!mi napga Telecom ya DIT afu mlete m2 wako wa UD 2kapalangane kwnye market!!hapo ndpo utakr UD n zaman bt co xaxahawa vilaza cjui lini wataacha kuiponda udsm, jaman twend turud, najua kuw na nyie mnajua sema mnabisha kujifurahisha tu "UDSM IS THE BEST UNIVERSITY IN TANZANIA"
inakuwaje udsm zinachelewa angali IFM zishatoka
Muwe mnaacha uongo mbona toka tar 12septemba wametoa.