muhinda-moja
Senior Member
- Sep 22, 2014
- 117
- 9
Hivi kama mtu amemaliza degree ya kwanza labda ya education kwa masomo ya physics na mathematics,je anaruhusiwa kusomea advanced diploma ya enginearing,na vip kwa aliyesoma degree ya education masoma ya chemistry na mathematics! Naomben ufafanuzi wadau!