Kuhusu Advanced Diploma ya Engineering

Kuhusu Advanced Diploma ya Engineering

muhinda-moja

Senior Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
117
Reaction score
9
Hivi kama mtu amemaliza degree ya kwanza labda ya education kwa masomo ya physics na mathematics,je anaruhusiwa kusomea advanced diploma ya enginearing,na vip kwa aliyesoma degree ya education masoma ya chemistry na mathematics! Naomben ufafanuzi wadau!
 
Chuo gani bado wanatoa Advanced diploma ya Engineering kwa sasa?,mleta mada hebu nijibu hili kwanza halafu tuendelee mengine
 
Udsm,ila kwa vyuo vingine sijui!

Hauko serious wewe,udsm wanatoa advanced diploma ya engineering tangu lini?,kama huna kitu cha kuandika bora kukaa kimya tu,unajaza server za jf kwa vitu visivyo vya msingi
 
Ww kama unakuwa huna fact ni bora ukaturia,kwan mwenzio nilikuwa nahitaji ufafanuzi tu!
 
Hakuna advanced diploma kwa miaka ya karibuni, mimi nasoma engineering diploma 3rd year. Ukimaliza diploma moja kwa moja degree. Usidanganywe kijana.
 
Ndg.kwanza hakuna chuo chochote kinachotoa hiyo kozi. Halafu huwezi soma masters ya engineering kwa sifa hiyo uliyoitaja.

Kiongozi hii product ya BRN ni shiiiida,anaomba kuelekezwa ina maana hajui,anaelekezwa anakua mkali,loh
 
Back
Top Bottom