Kuokota makopo ajira hiyo siku hizi ndugu yangu. Labda asauleTegeni macho na masikio Kwa huyu jamaa, muda si mrefu ataanza kuokota makopo.
unasumbuka na maneno ya deo "Kisanduku"Masikio na Macho yangu yapo salama kabisa, sina matege, sina chongo, ulimi wangu upo safi
Deo napenda kukushauri na kukukumbusha kuwa:-
Uzima wa Mwili na Akili unatokana na NEEMA ya Mungu tu.
Haimaanishi Wenye matege, chongo, wenye shida za masikio na macho walikuwa na dhambi au wana dhambi
Usirudie kusema kuwa watajibeba
Wewe hukutoa rushwa kwa Mungu mpaka uwe hivyo [\COLOR]
Kwa kweli!Tegeni macho na masikio Kwa huyu jamaa, muda si mrefu ataanza kuokota makopo.
Wewe unadhani hicho tu ndo kigezo?Tegeni macho na masikio Kwa huyu jamaa, muda si mrefu ataanza kuokota makopo.