Kuhusu Afya yangu Deogratius Kisandu

Kuhusu Afya yangu Deogratius Kisandu

Lol! Unavyojisifu utaqdhani hii JF ni hospital na wanachama wake ni wagonjwa.

Maandishi yako yanakufanya uwe mzima shingoni kushuka chini, shingoni kwenda juu ni mfu
 
Kwani uzima wako ni juhudi zako pekee? By the way, who gives a sh*t about ur health anyway
 
Hata saa mbovu kuna wakati inaonesha muda sahihi.

Nakushauri ukafadhi vipimo upya hasa magonjwa ya akili
 
Uliyoyaandika yanathibitisha wewe sio mzima kiakili, mambo ya ukimwi yanahitaji daktari ila kujua wewe ni chizi unatuonyesha mwenyewe.
 
Masikio na Macho yangu yapo salama kabisa, sina matege, sina chongo, ulimi wangu upo safi

Deo napenda kukushauri na kukukumbusha kuwa:-

Uzima wa Mwili na Akili unatokana na NEEMA ya Mungu tu.

Haimaanishi Wenye matege, chongo, wenye shida za masikio na macho walikuwa na dhambi au wana dhambi

Usirudie kusema kuwa watajibeba

Wewe hukutoa rushwa kwa Mungu mpaka uwe hivyo [\COLOR]
unasumbuka na maneno ya deo "Kisanduku"
utachoka, ana tatizo la hoja yake namba 2
 
Una miaka miwili hujakanyaga hospitali, sasa unajuaje we ni mzima wa afya.
 
Hapa naanza kuamini una matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom