Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Habarini wanaJamiiForums,
Mimi ni mdau wa kupenda maendeleo na ustawi wa wengine pia.Kuna hili swala la ajira za Walimu mtindo wanaotumia kupata walimu wa kuajiriwa ni mzuri ila una mkwamo mkubwa sana.
Yaani Mwalimu aliyemaliza chuo mwaka 2019, Unapoenda kumpambanisha interview na aliyemaliza 2023 Lazima kuna utofauti wa kujibu maswali, maana huyu aliyemaliza miaka ya nyumba atakuwa vitu vingine kwanza kuvisahau kufuatana na mfumo wetu wa maisha.
Mngewaajiri tuu na baadae muwape kozi fupi.
Ahsanteni sana.