DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kuna Uzi Humu wa Bachelor ya Clinical Medicine..Vigezo vyao vipoje chief ????
Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)
Mimi ni mhitimu wa kozi hii, nilisomea Chuo kikuu cha Rwanda (UNIVERSITY OF RWANDA) Kwa miaka 4 Na mwaka mmoja wa Internship. Nilihitimu mwaka 2020 .Baada ya kumaliza niliomba kufanya Internship hospitali ya Mnazi mmoja -Zanzibar kupitia wizara ya Afya na MCT nikamaliza mwaka Jana 2021...