DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kuna Uzi Humu wa Bachelor ya Clinical Medicine..Vigezo vyao vipoje chief ????
Vigezo vya kusoma hio kozi vipoje mkuu ?Siku hizo Ukisoma Bachelor ya Clinical medicine Officially unatambulika Tanzania kama AMO ila kenya Wanakutambua kama Senior CO
Rudi Post namba 21 Mkuu bila kuwa Na harakaVigezo vya kusoma hio kozi vipoje mkuu ?
Mbona haijaanzishwa Tz??AMO siku hizi Ni Bachelor ya CM (Clinical medicine)...
Ruksa Kusoma na Ukiwa na Vigezo
Tz ilianzishwa miaka ya 2015 na 2016 ila Ilifutwa na NACTE kutokana na Mgongano wa Kimaslahi na utambuzi kutoka MCTMbona haijaanzishwa Tz??
Kwa AMO haitarudi tena?Tz ilianzishwa miaka ya 2015 na 2016 ila Ilifutwa na NACTE kutokana na Mgongano wa Kimaslahi na utambuzi kutoka MCT
Amo Si ndo Hiyo Bachelor hiyo...Kwa AMO haitarudi tena?