meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Nimemsikia lissu akikosoa kuhusu njia zilizotumiwa na Serikali katika kukabiliana na Covid 19.
(Nina uhakika hajajielimisha kutoka kwa wataalamu waliokuwa frontline kupambana na Covid 19)
Nimemsikia akisema kuwa Serikali imekiuka maelekezo ya wataalamu wa kitanzania kwa kutolea mfano wa matumizi ya barakoa.
Ningependa nimuelimishe na kumuasa asinukuu kilaghai maelekezo ya wataalamu.
Hadi sasa wataalamu wa afya wanaamini kuwa virusi vya Sars Cov -2 vinazuiliwa na barakoa za N95 na si vinginevyo.Hakuna nchi duniani imeweza kutoa barakoa za N95 hata kwa watoa huduma za afya tu kwa ukamilifu
Barakoa hizo ni chache duniani tena ni pungufu hasa baada ya mlipuko wa Covid 19.
Barakoa za aina nyingine zote hazijaonesha ufanisi sahihi kuzuia mdudu huyu.
Kuna baadhi ya nchi ziliadopt matumizi ya barakoa za aina zote kwa jamii(hasa ambazo sio N95)
Kwa upande wa Tanzania barakoa za aina zote/au za N95 zilipendekezwa kwa makundi maalumu na nyakati(scenario) maalumu.
Kimsingi hakuna ushahidi unaosimama unaosema matumizi ya barakoa katika jamii yote umesaidia kupunguza Covid 19.
Nikitoa mapendekezo ya kitaalamu...matumizi ya barakoa hasa zile ambazo sio N95 ni sehemu ya kujifariji tu au inaweza kuwa na chance ndogo (no any clear evidence) ya kupunguza mruko wa majimaji(droplets) yenye ugonjwa.hivyo unaweza kurecommend au la.
Pengine unapoingia kwenye msingamano na ukajua kuwa utakaa muda mrefu unaweza kutumia ingawa hakuna gurentee yoyote ya kuzuia maambukizi ya covid 19.
Kwa mtoa huduma barakoa sahihi ni N95 tena pale anapomuhudumia muhisiwa(suspect) au mgonjwa wa covid 19...hii ni pamoja na tahadhari nyingine lukuki ili awe salama kwa asilimia nyingi.
Kwa hiyo hatuwezi kusema kwa upekee kuwa matumizi ya barakoa (be it N95 au otherwise ndio kinga timilifu)
Rais Magufuli ameikomboa Tanzania kwa kuondoa hofu isiyo na msingi dhidi ya Covid 19 kwa wananchi na wataalamu ...hili litabaki kama tukio bora nchini na duniani...anapaswa kupongezwa na kutambuliwa.
Kwa saaa covid 19 Tanzania ni rare na pia sio tishio la kuleta vifo vingi na ukweli uko wazi.
Iwapo unakosoa Magufuli theory of Covid 19 management njoo na ya kwako ambayo ni workable.
Acha siasa katika kila jambo.
UPDATE:
IJUE COVID 19
kwa ufupi sana niseme kuhusu ugonjwa huu ambao ni mpya duniani lakini sio mpya sana kwa wataalamu wa afya.
Kimsingi huu ni ugonjwa wenye kuathiri njia ya hewa hasa mapafu.
Dunia ilitaharuki bila sababu ya msingi dhidi ya ugonjwa huu na kupelekea unnecessary deaths.
Ni nchi ya Tanzania pekee iliyojitoa muhanga kuionesha dunia kuwa ugonjwa huu sio tishio kama tulivyoaminishwa na unatibika au kuisha wenyewe iwapotutatimia mbinu zilezike zilizowekwa awali.
Kwa sasa ...na kwa kitumia mbinu za Tanzania dunia inarudi kwenye mstari baada ya kupotoshwa