muwe na akiba ya manenohakuna haja ya kuogopa. barca watafungwa tena, viungo walaini na wazembe sana
Best comment of the dayBarca wanatakiwa kusajili Verrati awe mrithi wa iniesta
[emoji23] [emoji23] kazi walioipiga jana aisee!! mpaka nikaongeza kiingilio ukumbiniSamahani mkuu kuwa nje ya mada ila
MATUIDI
KIMPEMBE
RABIOT na
VERATTI anajua MUNGU.
Hahahaa[emoji23] [emoji23] kazi walioipiga jana aisee!! mpaka nikaongeza kiingilio ukumbini
Acha upotoshaji,AC Milan alimfunga Deportivo La Coruna 4-1 na mechi ya marudiano Deportivo akashinda 4-0Wakuu soka lina maajabu,AC Millan waliwafunga Depotivo la Coluna gori 4 buyu,walipoenda Spain wakapigwa 5 buyu...game bado hii wazeiyaa..
Hongera kuweka kumbukumbu sawa...Acha upotoshaji,AC Milan alimfunga Deportivo La Coruna 4-1 na mechi ya marudiano Deportivo akashinda 4-0
Kama historia inajrudia bas amini ipo ckuTanzania bara itajtenga na Visiwan na Mjerumani atarud Tanganyika kuitawala.Wakuu soka lina maajabu,AC Millan waliwafunga Depotivo la Coluna gori 4 buyu,walipoenda Spain wakapigwa 5 buyu...game bado hii wazeiyaa..