Kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia

Kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia

border mc

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
41
Reaction score
44
Mimi ni kijana mdogo bado, ila nataka nijiajiri mwenyewe kwa manufaa yangu ya badae
Niko hapa kuuliza ili nijue kiundani zaidi kuhusiana na biashara ya mafuta ya kupikia
Je soko lake lipoje?

Ni aina gani pendwa zaidi walaji huipenda? Na je bei zake zinaweza nipatia faida kiasi?

Na ni maeneo gani hasa nikiweka nitapata walaji wa kutosha ili nisipate hasara?

Kwa yeyote tafadhali mwenye uzoefu mbisaidie

Natanguliza shukran 🙏
 
Kikawaida ni biashara nzuri ila kiusiri ni biashara tamu sana....ina codes zake njoo inbox nikusaidie bure ila ww na maaskari itakua ni marafiki..au maadui ukiamua
 
Back
Top Bottom