Hili ni suala la kiimani zaidi! Ni kwel huenda yeye alietolewa asikusahau endapo tendo hlo lilitendeka ktk ridhaa ya kutazamia kuoana yan kuwa wana ndoa. Kumbuken kuna maagano ya damu, agano la aina hi zaid ni la kiiman, shetan huhtaj damu il kufanya agano, na ndio mana twaweza shuhudia ajal nyng sizoelezeka, yale ni maagano wakat mwngne shetan hufanya na wanadam (matajir) kwa lengo la kutaka mali. Pindi binti anapovunjwa bikra hua kuna damu inatoka, damu ile ktk ulimwengu wa roho tayar ni agano! Ndo mana ni dhambi na hairuhusiwi kufanya tendo hlo nje ya Agano kamili (ndoa). Vijana weng kwa kujua au kutokujua wamekua wakizuia baraka zao km vile kukosa aman ktk ndoa na kukosa watoto pind waingiapo ktk ndoa, kisa utakuta kumbe alfanya agan la damu na binti fulan na akamwacha, endapo binti huyo alieachwa ataendelea kusononeka na kuumia, anao uwezo wa kutamka laana yoyote juu ya ndoa yako na ikakupata kwan mamlaka anayo juu ya uhai na baraka zako. Vijana jizuieni kufanya haya ili kunusuru maisha yenu ya badae ya ndoa! Na wale ambao wapo kwny ndoa na wanaona hakuna baraka ktk ndoa zao, wamekosa watoto, hawaelewan ndan ya ndoa zao, ni vema wakakaa na kutafakar wap walfanya maagano ya damu, na watafute njia ya kuvunja maagano hayo, aidha waonen viongoz wa kiroho kwa ushaur zaid. Achen uzinzi!