sasa na hizi bikira za kichina,mtakumbukwa wangapi?Maana mjikuta kama 9 hv wote mnasema mmemtoa mtu(binti) mmoja bikira!Hili neno au hii habari inasemwa sana mitaani, kwamba mwanaume atakaemvunja bikira mwanamke husika.
Inasemwa mwanamke huyo hatomsahau milele! Na hata ipite miaka mingapi na yuko katika mahusiano ya kindoa, pindipo mvunja utepe akiomba lazima apewe.
Nawaomba wenye mnasaba na hii maneno mnifungukie.
sasa na hizi bikira za kichina,mtakumbukwa wangapi?Maana mjikuta kama 9 hv wote mnasema mmemtoa mtu(binti) mmoja bikira!
Hili neno au hii habari inasemwa sana mitaani, kwamba mwanaume atakaemvunja bikira mwanamke husika.
Inasemwa mwanamke huyo hatomsahau milele! Na hata ipite miaka mingapi na yuko katika mahusiano ya kindoa, pindipo mvunja utepe akiomba lazima apewe.
Nawaomba wenye mnasaba na hii maneno mnifungukie.
Mtoa bikra anaweza akumbukwe au asikumbukwe inategemea ilitolewa katika mazingira gani..kama ni kwa upendo na ali-enjoy then atamkumbuka...kama alibakwa hatamkumbuka na atalichukia tendo lenyewe...kama ni kwa upendo lakini haku-enjoy hatamkumbuka pia.
Unapozungumzia bikira,ni yule gal ambae hajawah kukutana kimapenz na mwanaume yoyote yule.
Suala la kwamba ukimtoa bikra,halafu akija kuolewa na mwingine atataka muwe mnacheat,huyo siyo bikra tena,coz ulishamtoa,na mwanaume wa kwanza kabisa,makes them to cry,na huwaweka akilin mno.
Bikira original wengi siyo macheaters.and they believe that walivyo wao na wapenzi wao wa kiume wawe hivyo hivyo.kitu ambacho ni kigumu kwa baadhi ya wanaume kuwa na huyo tu.
Mkiachana au kumwagana na vibinti bikra,kama bado hujatembea nae,kaa hata mwaka mzima,jifanye kumtafuta,utamkuta single,otherwise alikuwa katika harakati za kuolewa.hapo utakuta kashaolewa,au anatarajia.rather than that,mlipoishia,palepale utamkuta hivyo hivyo.
Ukimwagana nae after sometimes ukasikia anamtu,c bikra huyo..
The word i miss u to them is so limited.Atakumic but hakuambii,akikuambia,ujue kakumis kweli.They are type of shy girls.
Girls wengi hupenda company ya wavulana,hata boys hupenda company ya wasichana.Hawa watu most of their company ni gals wenzao.Muulize mtu ambae ashatolewa bikra yake,rafik zako ni nani?,utasikia,i like boys coy,rafiki zangu ni yuda,is so nice to me,
Uliza hawa mabikira,utasikia i have one bestfnd may be elizabeth,mara nyingi ndo coy yangu.
Wanahasira hawa mabinti mno.but when it kams to their boyfnd,wanatulia mno.
Wanapenda attention yako mwanaume wake.ukimsahau kidogo anakuwa depresd kinoma na hakuambii,siku ukiwa unaongea nae ndo atakuambia.
They are antsocial,quite, and cool.
Kama una gal bikra,mchunguze kwa hayo,otherwise utauziwa gunia bila kitu ndan yake.
Hayo niukweli wa kwangu yupo hivo hivo? Nam**nda sana.[/QUOTE
Safi sana mkuu,ndo inavyotakiwa.
Kibonzo maana yake nini ? Au ni neno la kingereza ? Unitafsirie ndg.
hiyo ni kweli mimi nilimvunja bikra demu sasa ameolewa baasi taabu tupu anataka tupige gemu tujikumbushie ila mi nachomoa
Wanawake hapa bongo aslimia 90% au zaidi huwa wanatolewa bikira kwa kubakwa hawana ridhaa kwenye jambo hilo , swala la kukumbukwa hapo ni lazima kwakuwa kitendo chenyewe ni once in a life time sasa hatujui atakumbukwa kwa heri au kwa shari itategemea.
GIUSSEPPE,
Kuna bikira kwa maana mbili
Ya kwanza ni ile kutokiingiliwa na mwanaume ya pili huo ute unaozungumzia.