Kuhusu Bikira


yote ulioyasema hapo ndugu ni ya kweli kbs.dah!! Mimi mtarajiwa wangu yuko hivyohivyo.labda cha kuongezea hapo ni kuwa....nikimuudh huwa anasikitika na kulia.
 
kuna demu wangu alinambia bora bikra yangu ningekupa wewe niliumia hdi nafikria kumuacha.
 
Watu wanaowatoa bikira mademu huwa hawakai sana wanasepa fasta wengi wao wale second runner up ndio wanakaa kaa kidogo haha
 
Uongo mwingi tu na kujazana ujinga, mwanaume kakuvunja bikira una miaka kumi na nne kwa sababu za kijinga tu na kutojielewa wewe na thamani yako, leo miaka 20 baadaye ukutane akuombe kulala na wewe tena ukubali,kutakuwa na sababu nyingine zaidi ya kwamba alikuondoa bikira,either uliyenaye humpendi au hakuridhishi,hujithamini, huna mpenzi, waga kuna sababu zaidi ya hilo suala la bikira!
 
Reactions: SMU
Cdhani kama kutoa bikra is such a big dil ila anayepiga kazi fresh nafikiri ndio huwa mara nyingi anapewa nafasi ya kukumbukwa zaidi.
You have the point. Ukimtoa bikra tena pengine kwa kubaka au ulaghai msichana huyo atakuchukia maisha yako yote.
 
siyo kweli nadhani hii inategemea na mambo mengine ila hiyo cyo main factor.
 

Derailed: Out of context
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…