Kuhusu chanjo ya COVID-19: Tuijue dhana ya "moving target"

Kuhusu chanjo ya COVID-19: Tuijue dhana ya "moving target"

MKUU WA MKOA WA ZAMANI ANAPIGA PESA KWA KULETA DAWA NA CHANJO KWA MAGENDO KUTOKA NJE ...ANAUZA HADI MILIONI 5 WA DOZI ...NA INADAIWA NYINGINE NI FEKI
 
Mtoa hoja si msema ukweli na asiyesema ukweli ni zaidi ya mchawi,nami nimechanjwa hii vaccines na hakuna side effects yeyote na ninajiona nipo ok kabisa
 
Umetoa mfano ulio na maana lakini dhana yako ni ya kipumbavu! So kama ni moving target - unasema tusifanye lolote kwa sababu hatutaweza kuja kuipata???

Watu wengi wajinga huongoza kwa kuwa na wasiwasi na hofu kwa mambo weruvu huyafanya!! Nilidhani hata dhana yako imejikita kwenye utafiti, kumbe iko kwenye kuogopa mzungu na nia yake! Mbona husemi hayo hayo kuhusu condom, upasuaji, dawa za ARV, mifumo yao ya elimu nk??

Wasiwasi hakuwahi kuwa kiongozi wa mafanikio!
 
watu wa aina hii ndio wanaosababisha watanzania tuonekane tuna IQ ndogo.
Soma hii article kutoka kutoka shirika la habari la Russia Today uone ninachokizungumza tayari watu wamekiandikia paper kwenye scientific journals. Somo hapa:

New study finds coronavirus variants will likely evolve, escape current generation of vaccines​

9 Mar, 2021 11:07
New study finds coronavirus variants will likely evolve, escape current generation of vaccines

Illustration: © Gerd Altmann from Pixabay
  • 96





Follow RT onRT
A new study examining the efficacy of current generation of vaccines against the UK and South Africa variants of SARS-CoV-2 makes for sobering reading, and raises the specter of widespread reinfection.
The study, published in Nature on March 8, warns that the current generation of vaccines and monoclonal antibody treatments may lose the arms race against the coronavirus, raising the daunting, open-ended possibility of reinfection unless vaccine rollout is greatly expedited worldwide to prevent further mutations.
The study’s findings are currently being borne out amid the latest results concerning the Novavax vaccine, which reported a 90 percent efficacy rate against the UK variant but only 49.4 percent efficacy in combating the South African variant.
“Our study and the new clinical trial data show that the virus is traveling in a direction that is causing it to escape from our current vaccines and therapies that are directed against the viral spike,” says the study’s lead author, David Ho.
ALSO ON RT.COMMutations have made coronavirus EIGHT times more infectious than original Wuhan variant – study
Ho warned that, with continuing “rampant spread” of the virus in certain areas of the globe, humanity “may be condemned to chasing after the evolving SARS-CoV-2 continually, as we have long done for influenza virus.”
He called for redoubled mitigation efforts in concert with expedited vaccine rollouts, arguing that time is of the essence when it comes to eradicating the threat posed by the coronavirus permanently, rather than allowing it to mutate and linger indefinitely.
Ho and his team found that antibodies in recipients of either the Pfizer-BioNTech or Moderna vaccines were less effective at neutralizing the UK and South African variants, with a two-fold drop in efficacy in the case of the former, and up to an 8.5-fold drop in neutralizing activity with the latter.
“The drop in neutralizing activity against the South Africa variant is appreciable, and we’re now seeing, based on the Novavax results, that this is causing a reduction in protective efficacy,” Ho says.
The study did not examine the Brazilian variant, which boasts similar mutations in the spike protein to the UK and South African variants.
“The concern here is that reinfection might be more likely if one is confronted with these variants, particularly the South Africa one,” Ho says.
 
Nashukuru Mungu kanisaidia nimechanjwa March 4 Texas USA . Achaneni na maneno watu wanakufa.
Hahahahah eti watu wanakufa mbona wewe ujafa? Au unadhani watu wameanza kufa mwaka huu
 
Kwani umeumia kwa mawazo yake?
Mbona hao WHO wanataka tanzania ipokee hizo chanjobwakati wanajua tuna msimamo wetu.
Na wanaanza kutuwekea masharti kwa nia ya kutubana ili tukubali.
Je hapo hujalazimishwa?
 
Ingependeza sana kuweka ushahidi kwa kuweka attachment to support your assertion.... These are very technical and scientific issues, huwezi tuu kukurupuka without any basis. After all no one has forced any nation to take the vaccine, ila ukigoma usitange tange sasa huko kwao maana wao wamejikinga. Mwisho mbona mnahangaika na chanjo ya wazungu badala ya kutengeneza ya kwenu? Si ma profesa wako akina Yunus Mgaya na wengine?
 
Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 1970. Ipo hadithi moja ya kinaijeria inahusu mmoja wa miungu wao aitwae Enshu. Kwa maelezo yao huyu Enshu ana uwezo wa kutupa jiwe la jana ili kuua ndege wa leo (Enshu confuser of the people. Who throws a stone of yesterday to kill a bird of today). Sasa fikiria kuua ndege aliyetua mtini jana kwa kutumia jiwe unalolitupa leo si ni muujiza!
 
Yaani dunia nzima inacheza maigizo kwa gharama kuubwa ili kukutega wewe mswahili wa hapo Buza! Kweli akili ni nywele na ....
 

Isaya 65​

1 Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe.

Watu waliomwasi Mungu hawataelewa
Maana mawazo yao ni uasi. Tazama hata watu waliotufundisha imani nao wameyumba na imani yao wameiweka kando.​
 
Ingependeza sana kuweka ushahidi kwa kuweka attachment to support your assertion.... These are very technical and scientific issues, huwezi tuu kukurupuka without any basis. After all no one has forced any nation to take the vaccine, ila ukigoma usitange tange sasa huko kwao maana wao wamejikinga. Mwisho mbona mnahangaika na chanjo ya wazungu badala ya kutengeneza ya kwenu? Si ma profesa wako akina Yunus Mgaya na
Kwani ndege za kivita si ni high speed moving target but still inatunguliwa, tena kirahisi tuu...

Kwani ndege za kivita si ni high speed moving target but still inatunguliwa, tena kirahisi tuu...
Mfano wa ndege uko out of context! Ndege inayoonekana sasa ndiyo inayotunguliwa sasa! Silaha inayoweza kutungua mig 21 kwa leo silaha hiyo haiwezi kutungua F-16!. Ndicho ninachokizungumza! Kwamba umemwona adui yako leo anashambulia kwa kutumia mig 21, halafu kwa jinsi ulivyoichunguza jinsi mig 21 ilivyo, unaanza kutengeneza silaha za kuitungua. Baada ya mwaka mmoja huo unapata hiyo silaha yenye uwezo kabisa wa kutungua mig 21. Lakini unamkuta adui keshabadilisha silaha! Hakushambulii tena kwa kutumia mig 21 lakini anatumia F-16 ultra supersonic jet! Sasa wewe utailenga F-16 kwa kutumia silaha iliyokusudiwa kutungua mig 21, hapo hutafanikiwa!! F-16 itakuangamiza tu!!
Ndicho kilichotokea!! Dunia inajaribu kudhibiti covid-19, wakati kirusi wa sasa anasababisha covid-21!! wapi na wapi? Hawajaanza kuiita covid-21 lakini huo ndio ukweli! Corona ime-mutate! au imejibadilisha na kutokea toleo jingine ambalo wao wanaliita "new corona virus variants". Matoleo mapya ya corona yapo mengi, lakini yanayotisha zaidi ni mawili: south africa coronavirus variant na UK coronavirus variant! Nadhani kama lengo lako ni kuelewa utakuwa umeelewa! Haya matoleo mapya ya corona yametokea 2021. Chanjo ya sasa ililenga toleo la corona2019!! Inabidi kazi ianze upya!!
 
Umetoa mfano ulio na maana lakini dhana yako ni ya kipumbavu! So kama ni moving target - unasema tusifanye lolote kwa sababu hatutaweza kuja kuipata???

Watu wengi wajinga huongoza kwa kuwa na wasiwasi na hofu kwa mambo weruvu huyafanya!! Nilidhani hata dhana yako imejikita kwenye utafiti, kumbe iko kwenye kuogopa mzungu na nia yake! Mbona husemi hayo hayo kuhusu condom, upasuaji, dawa za ARV, mifumo yao ya elimu nk??

Wasiwasi hakuwahi kuwa kiongozi wa mafanikio!
Sijasema tusifanye chochote! Usinilishe maneno! Ninachosema ni kuwa hizi chanjo zilizopo sasa ambazo watu wanazishadadia zimeshapitwa na wakati kabla hata hazijatumika!! Hata waliozitengeneza hawana uhakika kama zitasaidia kupambana na new coronavirus variants. Nimenukuu kipande cha taarifa kwenye gazeti la Al jazeera, wanavyosema hao WHO kuhusu hizo chanjo, hiki hapa:
According to the World Health Organization, the COVID-19 vaccines that are currently in development or have been approved in various parts of the world are expected to provide at least some protection against the new variants.
Wanaposema are expected to provide at least some protection, hapo wanategemea majaliwa wala hawana uhakika kuwa kuwa chanjo haijafanyiwa majaribio kwa new variants.
Wangekuwa na uhakika wangesema: They will provide full protection against new variants.
 
Mtoa hoja si msema ukweli na asiyesema ukweli ni zaidi ya mchawi,nami nimechanjwa hii vaccines na hakuna side effects yeyote na ninajiona nipo ok kabisa
Hatuzuzungumzii side effects, tunazingumzia uwezo wa chanjo kujikinga na toleo jipya la corona almaarufu kama new coronavirus variants. Ukikumbana nacho hiyo chanjo haina uwezo wa kukukinga!
Lakini pia hakuna utafiti uliofanyika juu y madhara ya muda mrefu!
 
Hatuzuzungumzii side effects, tunazingumzia uwezo wa chanjo kujikinga na toleo jipya la corona almaarufu kama new coronavirus variants. Ukikumbana nacho hiyo chanjo haina uwezo wa kukukinga!
Lakini pia hakuna utafiti uliofanyika juu y madhara ya muda mrefu!
Acha kuandika uongo hapa,wave mpya ya civid 19 inasemekana imeanzia south Africa na hili sio kweli,vaccines iliyotengenezwa na J&J imeonyesha kuzuia hii variants inayosemwa na ndio maana SA walisimamisha ile waliyoagiza India ambayo haikuonyesha mafanikio na pamoja imeletwa wakati ina expire on April,ongepea hao hao wa UPE
 
Back
Top Bottom