Kuhusu chuo cha SUZA

Joined
Jan 2, 2015
Posts
37
Reaction score
3
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka jana PCB nilipata point 11 nilipata CHEM-B.BIOS-B.PHYZ-D.BAM-B ninataka nifanye aplction kuomba MD katika hiki chuo naomba mwenye ufahamu anijuze vip kinakuwa na competition? na vipi kwa ifaulu wangu naweza kupata md? na kama hawezekani naomba ushauri wa kwamba kwa ufaulu huo naweza kusoma cozi gani ya afya na chuo kipi naomba kuwasilisha

N.B matusi na kejeli havitonisaidia
 
shida ya wengi tulioahirisha mwaka jana ni kukosa mkopo heslb kwa kupata coz non priority na familia kuwa duni
 
Anza St Francis

Arch Bishop centre (SAUT) college iliopo tabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…