KATUNZI THE YOUNG
Member
- Jan 2, 2015
- 37
- 3
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka jana PCB nilipata point 11 nilipata CHEM-B.BIOS-B.PHYZ-D.BAM-B ninataka nifanye aplction kuomba MD katika hiki chuo naomba mwenye ufahamu anijuze vip kinakuwa na competition? na vipi kwa ifaulu wangu naweza kupata md? na kama hawezekani naomba ushauri wa kwamba kwa ufaulu huo naweza kusoma cozi gani ya afya na chuo kipi naomba kuwasilisha
N.B matusi na kejeli havitonisaidia
N.B matusi na kejeli havitonisaidia