Kuhusu Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam

Kuhusu Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam

kuna watu mnapenda sana kudharau vyuo vingine mbona kuna waliosoma udsm wapo mtaani wanasugua rami kutafuta kazi mchana kutwa na bado wanapigwa fimbo na vyuo vingine sa hivi watu wanaangalia uchapa kazi sio kujivuna eti kisa umetoka udsm

Hizo ni theory mkuu zikija nafasi uchague chuo hapa nchini kama fani unayopenda kusoma ipo udsm basi ni lazima first choice yako itakua udsm, kama hutafanya hivyo basi labda umeona points zako zinapwaya.
Jiulize kwanini uliweka first choice udsm? Kama ulikikosa pole najua lazima uponde ila hata wazee huko kishumundu wanakijua chuo cha udsm
 
Jonatus ww si umepata udom nako huko maisha ya kindoa ndoa yapo mwanafunzi usipojua kilichokupeleka chuo.

Duuh hayo maisha ya ki ndoa ndoa ndo nitapambana nayo mpaka miaka yangu mitatu nimalize bila kujiunganisha ki vyovyote
 
Hizo ni theory mkuu zikija nafasi uchague chuo hapa nchini kama fani unayopenda kusoma ipo udsm basi ni lazima first choice yako itakua udsm, kama hutafanya hivyo basi labda umeona points zako zinapwaya.
Jiulize kwanini uliweka first choice udsm? Kama ulikikosa pole najua lazima uponde ila hata wazee huko kishumundu wanakijua chuo cha udsm

Mmmhhhhh
 
Hahaaa usimsikilize kuna watu wanapenda kukatisha wenzao tamaa vibaya hicho chuo mm nakijua ila sisomi hapo ila kuna rafiki yangu anasoma hapo na huwa na visit sana pande hizo chuo kwa mazingira ni kizuri zaidi ya uzuri yaan kina sifa zote kwa mazingira, kwa taaluma pia wanajitahidi japo kwa miaka ya nyuma kilikuwa kinatia aibu mno ila kwa mujibu wa rafiki yangu anasema wako poa.
Kampala kiko poa wanakuja kitaaluma bt jua chuo sio kuuza sura ni misuli 2
 
nikupiga shule kwa bidii wanaosema gpa za kutosha wapite mbele na ushuhuda
 
hongera kasome mkuu,huyo anayekikosoa si kwa vile kapata chuo kingine.Hakuna chuo kibaya,ubaya upo kwa mtu mwenyewe.
 
chuo kina mazingira mazuri sana ila kichefuchefu ni ada... jamaa ada zao ni kubwa sana na tatizo jengine ni upande wa kitaaluma japo kwasasa wanajitahidi kurekebisha hii kasoro
 
Taaluma pale mbona ipo shega tuu, mazingira poa sana, vyuo vingi bongo malecturer hawajui ung'eng'e.. Pale mwisho wa matatizo....
 
Hizo ni theory mkuu zikija nafasi uchague chuo hapa nchini kama fani unayopenda kusoma ipo udsm basi ni lazima first choice yako itakua udsm, kama hutafanya hivyo basi labda umeona points zako zinapwaya.
Jiulize kwanini uliweka first choice udsm? Kama ulikikosa pole najua lazima uponde ila hata wazee huko kishumundu wanakijua chuo cha udsm

Sababu ni chuo cha kwanza hapa Tanzania na viongozi wengi wamesoma hapo, ila haimaanishi kuwa ni bora kuliko vingine.
 
chuo kina mazingira mazuri sana ila kichefuchefu ni ada... jamaa ada zao ni kubwa sana na tatizo jengine ni upande wa kitaaluma japo kwasasa wanajitahidi kurekebisha hii kasoro
Chuo ni wewe na bidii yako, KIU sio wabaya kwa siku hizi. Wanajitahidi sana. Ila kama alivyosema mwenzangu hapo, ada ni kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom