Jonatus ww si umepata udom nako huko maisha ya kindoa ndoa yapo mwanafunzi usipojua kilichokupeleka chuo.Kheeh kumbe ni maisha ya kindoa ndoa
kuna watu mnapenda sana kudharau vyuo vingine mbona kuna waliosoma udsm wapo mtaani wanasugua rami kutafuta kazi mchana kutwa na bado wanapigwa fimbo na vyuo vingine sa hivi watu wanaangalia uchapa kazi sio kujivuna eti kisa umetoka udsm
Jonatus ww si umepata udom nako huko maisha ya kindoa ndoa yapo mwanafunzi usipojua kilichokupeleka chuo.
Hizo ni theory mkuu zikija nafasi uchague chuo hapa nchini kama fani unayopenda kusoma ipo udsm basi ni lazima first choice yako itakua udsm, kama hutafanya hivyo basi labda umeona points zako zinapwaya.
Jiulize kwanini uliweka first choice udsm? Kama ulikikosa pole najua lazima uponde ila hata wazee huko kishumundu wanakijua chuo cha udsm
Hahaaa usimsikilize kuna watu wanapenda kukatisha wenzao tamaa vibaya hicho chuo mm nakijua ila sisomi hapo ila kuna rafiki yangu anasoma hapo na huwa na visit sana pande hizo chuo kwa mazingira ni kizuri zaidi ya uzuri yaan kina sifa zote kwa mazingira, kwa taaluma pia wanajitahidi japo kwa miaka ya nyuma kilikuwa kinatia aibu mno ila kwa mujibu wa rafiki yangu anasema wako poa.
Kampala kiko poa wanakuja kitaaluma bt jua chuo sio kuuza sura ni misuli 2
Hizo ni theory mkuu zikija nafasi uchague chuo hapa nchini kama fani unayopenda kusoma ipo udsm basi ni lazima first choice yako itakua udsm, kama hutafanya hivyo basi labda umeona points zako zinapwaya.
Jiulize kwanini uliweka first choice udsm? Kama ulikikosa pole najua lazima uponde ila hata wazee huko kishumundu wanakijua chuo cha udsm
Chuo ni wewe na bidii yako, KIU sio wabaya kwa siku hizi. Wanajitahidi sana. Ila kama alivyosema mwenzangu hapo, ada ni kichefuchefu.chuo kina mazingira mazuri sana ila kichefuchefu ni ada... jamaa ada zao ni kubwa sana na tatizo jengine ni upande wa kitaaluma japo kwasasa wanajitahidi kurekebisha hii kasoro