love love baby
Member
- Jun 16, 2014
- 40
- 3
Mdogo wangu kamaliza mwaka huu form six hajachaguliwa bado kwnd jeshini hvy anajipanga na chuo; amesomea PGM ; nataka kujuzwa chuo wanaanza lini process za admission? Na je mambo ya mkopo yakoje kama atataka kusoma nje? Kwan anapenda kusomea urubani ila ikitokea hajachaguliwa kwny hyo faculty je degree ya kwanza anaweza kusomea nini? Naomba msaada