Kuhusu chupi (Challenge)

Kuhusu chupi (Challenge)

Judgement hivi kweli unatulazimisha watu wazima tuanze kuandika ;chupi;
Na kama kawaida yangu nikuswalike kidogo;
chupi ni ipi kwani,
nilishaona zile za kutaiti au wanaita ni banangenge
nikaona zile zingine ni ndefu hadi magotini
nikaona na zile ziko kama kaptula fulani hivi
........... niliona ni kwenye picha siyo ile ya kuona laivu......
nipe jibu unasemea zipi, ukiweza weka na kaphoto.
Aise was 2013 ila sasa sivai labda nikiwa natoka nje ya home place
 
Jamani kwani chupi si stara? Apo ukikaa vibaya chupi ikaonekana ukaambiwa umekaa uchi basi pia afadhali itakua imekustiri. Kuliko kukaa vibaya madubwana yakawa nnje mojakwamoja itakua aibu zaidi.
Hlf chupi pia si inasaidia kueka madude vizuri? ( yaani kuyastiri yasining'inie kutwa, iwapo utavaa suruali tu pekee)
Inasaidia pia kukuepusha na harufu mbaya ya jasho la sehem ya mapajani. Ambalo pia linaweza kukusababishia michuniko. Jasho litoingia kwenye chupi harufu ni tofauti na kuingia kwenye suruali kutokana na utofauti wa vitambaa.

Kuna wanaume wengine wana ugonjwa wa kudisa disa na kutoa ule Ute, sasa kama mambo yatakua hayajastiriwa si itakua aibu jamani?
Hayo ni maoni yangu tu, mana mi ni 'ke'

Ha hahahahaha long tym, zamani raha sana
 
Back
Top Bottom