MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika:
1. Installation charges ni TZS 300,000/-
2. Monthly subscription ni TZS 75,000/- kwa package ya speed ya up to 20 Mbps(akasema inafanya vyema kabisa kwenye streams bila kustack)
3. Akasema kuna package nyingine za TZS 500K, 400K, 150K, 99K kwa mwezi japo hakuniambia ni kwa speed ipi ya internet; maana tayari nishamueleza kuwa nahitaji kwa matumizi tu ya nyumbani.
4. Installation ina combine:
i) Dish ii) Cable iii)Router
5. Akanambia nikihitaji huduma, itakamilika ndani ya muda wa siku 3-4 baada ya surveyor kufika site. akanambia lakini hata siku 1 kazi inaweza fanyika ikamalizika.
HOLD ON: Nikamuuliza lakini nilipata taarifa kuwa wenyewe wanafanya free installation, inakuwaje tena Kuna hiyo Laki 3 ya installation?
6. Akanambia maeneo niliyopo huku KIBAHA hakufahamu vyema, ila ingekuwa MBEZI BEACH au MWENGE angenifanyia FREE installation.
Akanambia:
"Unajua kibaha mtu anatumia nauli eeh?"
Nikamwambia:
" Ila ukiangalia LAKI 3 ni kubwa sana"
Akanambia: "Enewei, tufanye kitu kimoja, once ukiwa tayari niambie mie nijue cha kufanya. Ukiwa tayari na upo serious unahitaji huduma niambie, nitajua jinsi gani ya kukusaidia"
Nikamuuliza: " Unamaanisha nikiwa tayari na hiyo TZS 75,000/- nikujuze?"
Akanijibu: " YES"
Basi nikamtakia siku njema, tukamaliza maongezi yetu.
Najua JF ni jamii kubwa, nina uhakika kuna wateja humu tayari wa huduma ya SATELLITE INTERNET kutoka kwa hii kampuni; NAOMBENI EXPERIENCE yenu juu ya huduma yao.
IPO BOMBA? au NDIO HIVYO UKIUNGA INAHITAJI UPENDO NA MIUJIZA KUENDELEA NA HUDUMA YAO.
NAWASILISHA.