Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
- Thread starter
-
- #121
Kwahio na wewe ukaamua kuungana nao kuthibitisha ulivyokua boga kichwani?Ukisoma comment za wafipa humu wanadhihirisha ule msemo moja ya sera za wafipa Ni matusi sio hoja kwa hoja au swali kwa jibu sipati Shaka kwanini wakaitwa nyumbu/misukule
Sent from Tapatalk
Naelewa Mpwa! Relax ndio Ndugu zetu hawa Mungu alioamua kutupatia. kikubwa uzima.Asante mkuu! MATAGA wanakera sana!
Mwengine huyo napata ukakasi na afya yako ya akiliKwahio na wewe ukaamua kuungana nao kuthibitisha ulivyokua boga kichwani?
Huo ni wasiwasi wako, endelea nao!Mwengine huyo napata ukakasi na afya yako ya akili
Sent from Tapatalk
😆😆😆 Tuendelee kujifukizaHoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hoja hapa ni nini?
Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?
Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!