Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

Faida kubwa ya Corona Tz ni kufuta mbio za Mwenge. Hakuna anayefurahia Corona bt kwa hili Corona inafaida.
 
Acha upuuzii hajanini manaakenini ndionii wangejadili jinsi gani wangeweka mikakatatii mazubutii yakuizibitii covid19 ayammejadili swala ambalo alinamantiki ndaniyake leohii unaanza kusitisha mwenge bajetiyake unahamishia kwa cvd19 mm nissm ilainapotokea twabungi ziwezikukubaliana
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawametuficha kamakunamgonjwa mmoja kumbe wako 8 sasa sijuwii wanamficha nanani
Hivi kama taifa great thinker wetu ni Nani? maana tulipuuza corona sasa ipo kariakoo
Screenshot_20200317-133130.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!

Ata ulichokiandika hukijui - Ni ivi bunge lingejadili hatua mbali mbali za kuchukua kabla lakini pia kujikinga - Leo ugonjwa umeingia hakuna utaratibu rasmi ambao ulikuwa uwe umepangwa - yule mgonjwa alifika pale Airport kapimwa hana kaendazake na nasafari zake baada ya kujihisi hayuko vizuri ndio karudi ospitali mwenyewe na kupimwa tena positive - sasa hao wataalamu wa Afya wako wapi? Yule mgonjwa unajua alikutana na nani na nani? na wako wapi? lakini vipi kuhusu watu aliosafiri nao kwenye ndege kila mtu amewahi kwenda kwao na sasa vipi kila mtu unaweza kujua amekutana na nani wakati gani.

Kama bunge lingekaa na kuongelea jambo hili isingefika hatua hii ambayo sasa inaenda kumugarimu kila mtanzania, kutakuwa hakuna utulivu hali ni taharuki tupu humjui yupi ni yupi.

Well, wataalamu wametoa njia za kujikinga lakini je unafahamu huu ugonjwa asili yake lazima kwanza uletwe na mtu anayefika katika nchi yako? kama unajua hivyo ni nani mwenye mamlaka ya kukontrol hao watu/wageni wanaoingia? watu wana nawa kila siku kwa maji na sabuni lakini wageni bado wanamiminika na wakishapimwa pale airport negative ndo imetoka tena wanasambaa mitaani. mpaka jana tunamsikia waziri anasema wanajaribu kutafuta utaratibu lakini hakuna stop hadi sasa ya wageni kuingia nchini. It is too late, bunge lingejaribu kuweka sawa haya mambo yote.
 
Hii nji Ina WATAWALA wa ajabu Sana.
Wanajitahidi Sana kuficha correct info kwasababu za kipuuzi kabisa,.!
ATI wakisema kweli WATAKUMBIZA WATALII NA WAWEKEZAJI...,..!Non-sense! Sijui huyu Magufuli na Ummy wanamdanganya Nani....!
Kudai ndege zitaendelea kuja na kuondoka njini ni uhuni mtupu.,.!
Wagonjwa 8 wao wanadanganya ni 1 tu.....!
Natamanu huyu Waziri Mwalimu ashikwe na gonjwa ili ashike adabu....!!
 
Back
Top Bottom