Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Tumia hata ubongo wako kidogo wangechukua taadhari kubwa leo hii, maabara ya kupima sampuli za corona iko moja tu tena dar. sasa huoni kama lingejadiliwa mapema wangetengeneza maabara hata tano kwenye majiji makubwa yenye muingiliano wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Janga kama hili lilikuwa na muda wakuweza kujiandaa, lakini kwa kutokulijadili imepelekea kuonekana kama vile limeingia ghafla adi kupelekea pesa za mwenge kuingia huko. Wataalamu wa afya hawawezi kufanya kazi yao kwa ufanisi bila kuwa na vifaa husika na vyakutosha.

Vifaa hivyo hugharamiwa na serikali, na serikali nayo husimamiwa na bunge. Sasa wanasiasa utawatoa vipi katika kujadili mambo yenye tija kwa taifa?

Kama tutapinga kila hoja kwa sababu tu imetolewa na mbunge wa upande ule, matokeo yake ndio haya ya kwamba mgonjwa ama mshukiwa wa ugonjwa achukuliwe sampuli arusha zikapimwe dar halafu ndio tupate majibu.
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Labda wangejadili,wangelipata njia mbadala wa kujiandaa kukabiliana na hili janga..

Wabunge wangeliwasukuma hao unaowaita wataalamu wa afya,watuletee njia za kujikinga na maarifa mengine

Hivi Sasa hao wataalamu wako kimya,gonjwa limepiga hodi Tz,subiri tufe Kama kuku,..

Sijui umeshaona vipi watu wanavyojazana kwenye daladala?
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hao wataalam wa afya wangetoa pesa kwenye fungu ipi kabla ya kujadiliwa na bunge na kupitishwa? wewe mwenyewe unajua akount ya majanga ipo epty.
Wakati mwingine mnawapa watu shida sana kuwafikiria nia yenu kwa wananchi wa Tanzania.
 
Nadhani alijibu bila kusoma, tumsamehe tu.
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Wataalamu wa afya bila kuwezeshwa na bajeti imara ya afya wanafanyaje huo utaaalamu mkuu?
 
Back
Top Bottom