Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Mgonjwa yupo Mt Meru, sample zimeenda kufanyiwa uchunguzi Dar. Hapa maana yake mpaka sasa vipimo vya uhakika vipo sehemu moja nchi nzima.

Tuna mipaka mingapi? Na je, mapambano kwa ujumla yapoje?

Hivi ni vitu ambavyo ilibidi vijadiliwe, ili hata kama itashindikana kuanza na vipimo sehemu zote, basi walau mikoa yote iliyomipakani iwe navyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Wataalamu si wanapata maelekezo kutoka kwa wanasiasa, bunge lingejadili pengine lingekuja na maazimio ambayo yangeifanya serikali iweke mifumo madhubuti ya kujikinga Kama kufunga mipaka,ukaguzi uliotukuka airport kusema kweli serikali haikuwa serious Sana zaisi ya kusalimiana kwa miguu...uyo mtz alietoka Belgium hakutakiwa kupimwa siku moja tu angewekwa chini ya uangalizi emmediately, wazungu na wachina waluendelea kuingia ivyoo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!

Acha ujinga Trump aliomba hela y kupambna n ugonjwa huu baraza la Sanate n kiasi alichoomba alipewa zaidi. Labda hapa kwasababu sheria hazifuatwi. Ss bajeti y kupambna n ugonjwa huu zitatoka wp? Na bunge linapojadili serikali inapata muda wakueleza limejipanga vipi ili kulinda wananchi kupitia wawakilishi wao ambao ni wabunge
 
Tunalindwa na Mungu tu hapa bongo
 
Hii serikali ya ccm ni serikali ya kigaidi na kishetani
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Aisee..mara nyingine unaweza pita kimya kimya bila kuchangia nalo ni jambo jema.
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!

Wanasiasa ndo hutoa mwelekeo, kubali usikubali. Wataalamu hawana nafasi ya kufanya maamuzi ya kisera
 
Serikali haijatamka hadharani kwamba imetenga kiasi Fulani cha fedha kwa ajili ya ugonjwa wa Corona, Je sehemu walizotenga kupokea wagonjwa kuna , mask, gloves , protective clothes . Leo tunaambiwa fedha za mwenge zinapelekwa kwenya ugonjwa wa corona ,let be seriously with covid -9
Mkuu Covid -9 ni nini? Au ndiyo Coronavirus?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbna Marekani hawakupuuza lakini Corona ipo, tuache kudanganyana, kwa kutafuta kick za kisiasa, tena Rwanda walichukua TAHADHARI mapema lkn uliingia mapema kabla ya tz, so hapa cha kufanya ni kumuomba Mungu atunusuru!
Hivi kama taifa great thinker wetu ni Nani? maana tulipuuza corona sasa ipo kariakoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom