Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

Mwezi uliopita wakiwa Bungeni, Mchungaji Msigwa wa Chadema alilitaka Bunge lijadili kama dharura issue ya Corona ambapo wangetoka na azimio kama wawakilishi wetu. Hoja hio ikapingwa kwakua tu ilitolewa na MTU ambaye "sio wa kwetu" na kupitisha hoja ya "kipuuzi" ya kumjadili @Zito na World Bank.

Leo hii Corona imefika na ghafla pesa za Mwenge zimeelekezwa huko! Bunge letu ni sehemu ya tatizo kwenye nchi yetu, specifically wabunge wa CCM.

Leo spika ati nae anatoa waraka kuhusu corona..
Sijui viongozi na wabunge wa Ccm huwaza kwa kutumia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Hujaona hoja? Duh! tutapata tabu sana na hii awamu! wewe unaona ilikuwa sawa kutojadili namna ya nchi kujiandaa kukabiliana na corona badala yake ikawa muhimu kujadili suala la Zitto na World Bank? Usivyo na aibu eti unasema ni suala la wataalamu wa afya, sasa Magufuli aliyefuta mbio za mwenge ili fedha ziende kwenye corona ni mtaalamu wa afya? mnajitoa akili kupitiliza............
 
Ninachomshukuru mungu corona huwa haichagui, na Takwimu zinaonesha wazee ndio wahanga wa huu ugonjwa ... CCM yamejaa mazee machawi nina imani lazima yatapukuchuliwa kama nzige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi uliopita wakiwa Bungeni, Mchungaji Msigwa wa Chadema alilitaka Bunge lijadili kama dharura issue ya Corona ambapo wangetoka na azimio kama wawakilishi wetu. Hoja hio ikapingwa kwakua tu ilitolewa na MTU ambaye "sio wa kwetu" na kupitisha hoja ya "kipuuzi" ya kumjadili @Zito na World Bank.

Leo hii Corona imefika na ghafla pesa za Mwenge zimeelekezwa huko! Bunge letu ni sehemu ya tatizo kwenye nchi yetu, specifically wabunge wa CCM.

Na ole wenu Chadema kiongozi impate Corona sijui kama chama kitapona.
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!

Acha ushahiki wa kijinga...!
Waziri Ummy Mwalimu Ni Mwanasiasa au Mtaalamu wa Afya? Serikali ya CCM mnataka kucheza na Uhai wa mamilioni ya Watz kwa upuuzi wenu..!!
Hatutakubali kufa kikondoo....!
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!

Sijakuelewa kabisa.
Haya mambo ya kukurupuka jambo linapotekea, haya ndiyo matokeo yake.
Mahabara ipo moja tu nchi nzima, mgonjwa kagundukia Arusha, Vipimo DAR. Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo? Wangelijadili hili jambo mapema waweke miundo mbinu ili tatizo likijitokeza, basi wawe wamshajiandaa kukabiliana nalo.
Sasa wanakimbizana na pesa za mwenge ndizo zikwa jenge maeneo ya kuwaweka wagonjwa.
Majanga hayachagui chama, hapa walipuuzia kwa kuwa ni wazo limetolewa na mpinzani.
 
Hizi ndio siasa zetu, tumebaki kushindana nani aliwahi kusema nini.
 
Serikali haijatamka hadharani kwamba imetenga kiasi Fulani cha fedha kwa ajili ya ugonjwa wa Corona, Je sehemu walizotenga kupokea wagonjwa kuna , mask, gloves , protective clothes . Leo tunaambiwa fedha za mwenge zinapelekwa kwenya ugonjwa wa corona ,let be seriously with covid -9

Umesikia Rais was kichaa kafuta mbio xa Mwenge na HIYO Fedha ndo ipelekwe kwenye Corona-Virus. !
Jiwe Hajatanka Ni bei gani itatumika kutoka mbio za Mwenge...!
 
Hoja hapa ni nini?

Kwa hiyo kama wangejadili ndio coronavirus isingeingia nchini?

Hili ni suala la wataalam wa afya na sio la wanasiasa!
Kichwa chako kwakuwa ni kizito ngoja nikueleweshe.
Hoja ni kwamba kungekuwa na taadhari kubwa yaani tuna mitambo ya kuona mgojwa kupitia vyombo hivyo siyo kupima joto kwa gun thermometer na mgonjwa kupita bila kuwa detected
Kungekuwa na mahabara kila kanda mfano Mwanza, Arusha/Moshi, Dar, Dodoma au Mbeya siyo mgonjwa apatikane Kasulu vipimo vipelekwe Dar. Uzuri Arusha zinatembea kila baada ya dakika tano. Kasulu watavbifikishaje Dar
Kungekuwa na Budget ya Corona na kila mkoa kuna hospital special in case mgonjwa amepatikana
Kungekuwa na wataalamu wa kutrace mgonjwa akipatikana ule mnyororo unakatwaje ili watu wawe salama.
Mpaka ninapokwambia hivyo kuna mipaka mikubwa kama Namanga hakuna hizo thermo gun na watu wanajipitia tu bila kuchekiwa. Kama Namanga wanapita free je vimipaka vingine vidogo?
Ndicho alichomanisha mtoa mada na ndicho alitaka Mch. Msigwa
 
Back
Top Bottom