Wenyewe wana iita “ Vumbi la Mkongo” nina jamaa yangu anapenda sana hizo mambo... na bei yake kweli ni 25 au 30 kama jamaa alivyo sema.
Nili cheka sana jamaa yangu alivyo kua ana nipa maelezo ya hili vumbi..
Unachukua maji kidogo una paka kwenye kichwa cha uume au unaweza kuoga vyovyote cha msingi kichwa cha “chabhunene” kiwe kinyevunyevu una chukua vumbi lako kidogo una paka juu ya kichwa tu alafu una subiri kama dakika 5 , 10 hivi. Then una futa coz vumbi lita kua limeisha kauka juu ya kichwa tayari una aambiwa nikama poda tu inavyo pakwa.
Baada ya hizo dakika kuna ka ubaridi eti utakua una kasikia kwa mbali eti ndio ina fanya kazi sasa hapo...
Ila uume hau simami unakua upo normal kabisa na wewe unakua upo normal ..
Jamaa bana ana utumia kumchapia wife wa mtu huko. Mwanamke ni ana mpenda huyu boya angejua huwa ana paka hako kavumbi hahaha.
Na Jamaa ana kwambia anaweza asi pizi kabisa mpaka ana maliza tendo.. huenda aka pizi siku nyingine aki kutana nae au aki kutana na mtu mwingine... kazi kweli kweli.
Trust me hili vumbi Dar lime tapakaa mno! Sie tunao tuko mkoani tuki fika Dar tuna pewa hizi story za vumbi la mkongo una baki una shangaa mbona kule kwetu “Nanjilinji au Ludewa “ haya mambo hamna huku kwenu ina kuaje?
..