Kuhusu dawa za kupunguza unene

Kuhusu dawa za kupunguza unene

Anorldboy

Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Hivi ni kweli haya Madawa ya Kupunguza unene ama Uzito ni kweli yanafanya kazi ama ni utapeli tu

Hawa jamaa wanafanya kuwaibia watu maana siku izi kiukweli makampuni na maduka yanayojihusisha na uuzaji Wa izi Dawa yameongezeka sana kupita kiasi .

Swali langu ni je ivi ni kweli izi dawa zinawasaidia watu ama ni biashara tu watu wanafanya kutapeli watu.

Kwa mwenye ushaidi naomba atupe feedback na ni aina gani ya dawa aliyotumia kma huna cha kuongea wee pita tu.
 
Back
Top Bottom