Kuhusu Dawa za kuzuia UKIMWI kwa waliobakwa

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
Kuna jambo limekuwa likinitatiza kidogo. Ni kuhusu hizi dawa za kuzuia virusi vya UKIMWI kwa wasichana waliobakwa! Sasa kama mtu kishabakwa maana yake tayari ana maambukizi ya virus halafu anapewa dawa ya kuviondoa.. Sasa si tayari dawa ipooo!

Haya, huwa wanapewa muda labda tangu kugegedwa na kibaka isiwe nje ya muda wa masaa sijui shirini na nne, sasa swali langu hapo, Je, imeshindikana kabisa kutafuta dawa ambayo haitazingatia mtu kagegedwa kinguvu, sangapi au sio tu ziwepo Polisi au hospital ziuzwe hata huku kwenye Mafamasia kama zinavyouzwa Kondomu, ili mtu akigegeda sampuli yenye mashaka akajinywee mapema?!
 
Je, unajua pia kwamba unaweza kufanya ngono na mtu mwenye huyo HIV bila kutumia kinga kwa miezi au miaka mingi tu lakini usipate huyo HIV hata kama hujatumia hizo dawa za kuzuia? Hili nalo halikutatizi?
 
Je,unajua pia kwamba unaweza kufanya ngono na mtu mwenye huyo HIV bila kutumia kinga kwa miezi au miaka mingi tu lakini usipate huyo HIV hata kama hujatumia hizo dawa za kuzuia?Hili nalo halikutatizi?

duh mkuu hapo unaweza kudadavua kidogo?
 
duh mkuu hapo unaweza kudadavua kidogo?

Usijali mkuu,ndio maana nipo hapa JF kwa ajili ya mambo kama haya.Ila ningekuomba kwanza uandae nafasi ya kutosha kwenye hard disc yako,ikiwezekana futa files za zamani ambazo hazitumiki ili unipe nafasi ya kukuwekea files mpya ambazo zina faida kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…