Kuhusu Dawa za nguvu za kiume kufanya kazi

Kichaa Msafi

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
1,087
Reaction score
2,134
Ndugu zangu,

Muamini au msiamini mimi nilikuwa muhanga wa punyeto na kupungiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.

Lakini kuna thread mbili zilikuja humu moja ni kuhusu kitunguu maji, mkaa, mkate na Asali, nyingine ilikuwa ni kitunguu swaum kukata kata kama sles peke sita za kitunguu sahumu na kukiacha kwa dakika kumi baada ya kukata then unakunywa kama panadol vile, after one day u repeat again, sasa mimi nimetumia zote mbili, na matokeo yake ni mazuri sana kwangu.

Nilikuwa natumia dakika zisizozidi tano sasa baada ya kutumia hizo dawa zot e mbili najikuta now natumia 30 minutes and above, but I dont know which medicine has helped me to get that power i have now. So guys it's better to try it
 
Hii ya kitunguu maji, mkaa, mkate na asali inatumiwa vipi?
 
Its all in the mind hata ukiamini kula kucha even if haifanyi kazi itafanya kazi.., kula vizuri, kuwa na afya nzuri, punguza stress na usiwe mtu wa ku-panic kama vile hii ni ajira na sio starehe...
 
Mimi ni baharia tena mzoefu wa chapa ilale nimeamua kushare na mabaharia wenzangu ili wajue kama ni kitunguu saumu au kitunguu maji ambacho kimefanya kazi, lakini Jane kuna siku nilikuja pm lakini m paka leo kimya sijaona reply
We ni baharia?
 
Kitunguu swaumu na asali mbichi ni dawa haswaa ya nguvu za kiume
 
Fafanua wadau tuunge tela
Kitunguu maji mkaaa asali na mkate
 
Kitunguu maji unakichoma
Fafanua wadau tuunge tela
Kitunguu maji mkaaa asali na mkate
Kwa mkaa au unatumia jiko la mkaa kukichoma hicho kitunguu maji then kikiiva unakikata kama unakata slase za mkate vile kisha unapaka asali mbichi kwenye slase ya mkate ukimaliza kupaka asali then unaweka kitunguu ulichochoma juu ya slase ya mkate then unaacha after twenty seconds then you eat like burger. It will help you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…