Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

Hizi ni Ramli chonganishi, kila mtu mjuaji. Kitu ambacho mtu hakijui lakini atajitutumua kujifanya anajua.
Hizi ni sababu ndizo wewe unatamani ziwe sababu ili kuridhisha moto na akili yako.
Tuheshimu watu na hisia na misimamo yao. Usitake kila kiongozi awaze unavyotaka wewe. Yaani ni kutunga story tuu kwaajili ya extreme chuki dhidi ya huyo unayemchukia.
Chuki nyingi tulizonazo ni chuki artificial yaani zimetengenezwa na makundi maalum yenye makusudi maalum na kupandikizwa miongoni mwa maelfu kama sio mamilioni wasiojua kufanya utafiti na kufanya upembezi wa taarifa.
Dunia hii sio ya propanda tena kama zama za usishalisti bali vita mbaya mbaya sana inaitwa.. INFORMATION WAR.. Mis information/Disinformation.
Vita kuu inayoendeshwa na nchi za magharibi kwa kutimia media zote, mitandao yote and anything ni mis information.
ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.
Nature ya binadamu ni kutaka kupata habari mbaya mbaya tuu za mtu anayemchukia iwe kweli au uongo yete cha msingi moyo wake ushibishwe kwa habari mbaya tuu dhidi yake.
Punguza MIHEMKO kwenye mambo ya Msingi. Kwani Unahusika?

Pole dogo
 
FB_IMG_1737368391341.jpg
 
Huyo jamaa black aangaliwe sana . Ma PPP ya Kafulilq yanamengi behind the curtains
IMG_4093.jpeg
 
Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 vs miaka mitatu ya Samia Suluhu

1. GDP ya Burkina Faso ilikua kutoka takriban dola bilioni 18.8 hadi $ 22.1 bilioni.

2. Amekataa mikopo kutoka kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia. Alisema, "Afrika haiitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika."

3. Alipunguza mishahara ya mawaziri na wabunge kwa 30% na akaongeza mishahara ya watumishi wa umma na 50%.

4. Alilipa deni la Burkina Faso.

5. Alianzisha viwanda viwili ya usindikaji wa nyanya, hakukuwa na kiwanda hata kimoja Burkina Faso.

6. Mnamo 2023, alianzisha mgodi wa dhahabu wa hali ya juu ili kuongeza uwezo wa usindikaji wa ndani.

7. Alisimamisha usafirishaji wa Dhahabu ya Burkina Faso Gold kwenda Ulaya.

8. Aliunda kiwanda cha pili wa usindikaji wa pamba wa Burkina Faso. Hapo awali, nchi ilikuwa na ki moja tu.

9. Alifungua Kituo cha Msaada wa Kitaifa cha kwanza cha Usindikaji wa Pamba ya Artisanal kusaidia wakulima wa pamba wa ndani.

10. Alipiga marufuku kuvaa kwa wigs za kisheria za Uingereza na gauni katika korti za mitaa na kuanzisha mavazi ya jadi ya burkinabé.

11. Alitanguliza kilimo kwa kusambaza matrekta zaidi ya 400, viboreshaji 239, pampu 710 za gari, na pikipiki 714 ili kuongeza uzalishaji na kusaidia wadau wa vijijini.

12. Alianzisha viwanda vya mbegu zilizoboreshwa na pembejeo zingine za shamba ili kuongeza pato la kilimo.

13.Uzalishaji wa nyanya huko Burkina Faso uliongezeka kutoka tani 315,000 za tani 2022 hadi tani 360,000 za tani mnamo 2024.

14. Uzalishaji wa Millet uliongezeka kutoka tani 907,000 za tani mnamo 2022 hadi tani milioni 1.1 mnamo 2024.

15. Uzalishaji wa mpunga uliongezeka kutoka tani 280,000 za tani 2022 hadi tani 326,000 mnamo 2024.

16. Alipiga marufuku shughuli za kijeshi za Ufaransa huko Burkina Faso.

17. Alipiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa huko Burkina Faso.

18. Aliwafukuza askari wa Ufaransa kutoka Burkina Faso.

19. Serikali yake inaunda barabara mpya, kupanua zile zilizopo, na kuboresha barabara za changarawe hadi nyuso zilizowekwa.

20. Anaunda uwanja wa ndege mpya, uwanja wa ndege wa Ouagadougou-donsin, ambao unatarajiwa kukamilika mn
Eric Samuel 🙏amo 2025 na uwezo wa kushughulikia abiria milioni 1 kila mwaka.

##SAMIA KTK MIAKA MI 3 AMENUNUA MABASI YA CCM , PIKIPIKI ZA SAMIA 2025, BAISKELI ZA SAMIA 2025, AMEHONGA MAKANISA ,MISIKITI , TIMU ZA MIPIRA NA WANASIASA, AMEPAISHA DENI LA TAIFA KUTOKA TRILIONI 60 HADI TRILIONI 100 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Duh,
Hatari sana.
Kuna wakati unaweza kudhani umelamba dume kumbe ni kinyume chake!
ChoiceVariable Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
 
Sisi Mali zetu tunagawa kwa wakoloni

Ukienda kule Shinyangq kwenye Migodi Utakuta kwa sasa ni maeneo mengi ni mashimo tu , jamaa walimaliza maeneo yote yenye madini na kutuachia mashimo

Tumefikia hatua ya kuuza mali zetu hadi kwa waarabu na wahindi. Hivi Muarabu ni lini amekuwa na akili….. nchi zao wenyewe tu wameshindwa kuzisimamia, leo Muarabu awe investor kwenye big project kama za bandari

Tunahitaji watu Kama Ibrahim Traore otherwise Tanzania chin ya CCM hatutoboi

Ukichunguza vema hatuna haja za kukopa sio Muhimu

Imagine mavitu kama Royal Tour yanasaidia nini, kama ku tangaza Utalii si tunayo Wizara ya Utaliii….. inq maana imekosa mikakati kama Wizara hadi Rais atumie Government Fund Billions kufanya Hiyo kitu ? Huku ni kukosa malengo

Ukiangalia maisha ya viongozi na V8 yao ni billions of money zinatumika

Mshahqra wa Rais na Benefits zake kwa mwaka tu Billions, kulipa marais wastaafu na wake zao ni billions , bado mawaziri na viongozi wengine, hizo zote we can cut cost na kuwekeza kwetu , tupunguze matumizi na mishahara ya mindless people

Kila siku Nchi inakopa
Kwa sasa wapo kwenye Utapeli wa PPP ambayo haifuati sheeria za Umma

expression of interest zinafanyika Dubai

Tungekuwa na watu makini, kwa mali za Tanganyika tu hatuitaji mikopo mikubwa
Inafikia hatua watu wananunua magoli for political fame huku nchi haina maji tu …..kwa watu wa vijijini
Mambo ya Hovyo
 
Kwann Huwa wanakaa kimya na kujiuzuli, Kisha wanaendelea kukaa kimya.

Kama jambo halistahili Kwa MANUFAA ya Nchi, kwann Huwa hawatoki na kulipinga waziwazi?.
Ndugu Carlos The Jackal, kutoa uamuzi wa namna hii unatakiwa uwe wa akili sana ukiwa na hakika ya ulinzi wa Mungu kabla, otherwise unaweza kufa kabla hata hujatoa kauli yako hadharani kuwa unakaa pembeni...!

Maana yangu ni hii: Don't think it's just simple like jamaa fulani afanyaye kazi Vodacom anayeweza kuamka asubuhi na kumwambia supervisor wake, NIMEACHA KAZI KUANZIA LEO..!

Kwenye mifumo ya mamlaka na tawala za nchi, HAIKO HIVYO...

Huko watu watu huingizwa kwa viapo na maagano ya kiroho, roho za utawala na mamlaka za kidunia/ulimwengu (evil spiritual covenants)....

Once unapoingia kwenye maagano haya ya kishetani ya kifo na mauti, unahitaji nguvu na mamlaka ya juu zaidi (Mungu wa mbinguni) kuvunja agano la aina hiyo lolote ili kuwa hai/salama kwa siku zako za mbeleni zilizosalia....
 
Kwann Huwa wanakaa kimya na kujiuzuli, Kisha wanaendelea kukaa kimya.

Kama jambo halistahili Kwa MANUFAA ya Nchi, kwann Huwa hawatoki na kulipinga waziwazi?.
Wazo lako zuri ww pia Una MDA ongea Ambapo mwenzako ameshindwa njia za kufikisha ujumbe ni nyingi
 
Huo ndio ukweli nchi imerudi mikononi kwa wenye meno. Wenye moyo wanarudi nyuma kujipanga upya. Mama Phd za heshima za bure, Nchimbi na Phd feki wamekuja kuikabidhi nchi kwa wakoloni mamboleo kwa uroho wao wa mali. Wazalendo tujipange kabla mambo hayajaharibika kuiokoa nchi. Jk na rafiki yake Makamba mzee ni watu hatari.
Nimecheka mwishoni hapo
 
Back
Top Bottom