Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hii ni video ndefu tu, Ina maswali mengi Kuhusu majibu. Kama una bando unaweza kusikiliza ila Kwa kifupi ni kwamba kulikua na Mambo mengi sana yalifanyika kienyeji mno.
Kumbe Kuna wabunge walisafirishwa kwenda DUBAI bila kujua kilichowapeleka! Bunge la CCM limekua genge la Wahuni kiasi hiki? Mbunge anasafiri bila barua ya mwaliko? Mbunge anabebwa kama mzigo?