Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wewe ni mturuki?
Kwahiyo wangepewa barua ya mwaliko ndo wangegundua ubaya wa DP world au?......Hii ni video ndefu tu, Ina maswali mengi Kuhusu majibu. Kama una bando unaweza kusikiliza ila Kwa kifupi ni kwamba kulikua na Mambo mengi sana yalifanyika kienyeji mno.
Kumbe Kuna wabunge walisafirishwa kwenda DUBAI bila kujua kilichowapeleka! Bunge la CCM limekua genge la Wahuni kiasi hiki? Mbunge anasafiri bila barua ya mwaliko? Mbunge anabebwa kama mzigo?
View attachment 2667008
Hebu tumuulizeKwahiyo wangepewa barua ya mwaliko ndo wangegundua ubaya wa DP world au?......
Hahahaha 🤣Hii inaonesha nia ovu iliyokuwepo kati ya Samia, na Tulia kwenye kuufanikisha mpango wao haramu, wabunge wakajikuta wanabebwa bila kujua wanakwenda wapi kufanya nini, matokeo yake ndio wanarudi kuja kushtuka kuna mkataba uliotuondolea uhuru wetu kama taifa, na kutunyan'ganya mamlaka yetu.
Hakika mashetani wataanguka kwenye hili.
MUNGU mwema sanaKazii ipoooo, Duuuuh