Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Wadau naomba nikumbushwe na kisha tujadili kwa faida mapana ya nchi yetu.
Kama sijakosea Kuna mwaka fulani kigezo cha mgombea Urais kiliwekwa kuwa ni pamoja na kuwa na walau digrii moja bila kueleza ni ya nini. Kigezo hiki kilimfanya Frederick Sumaye kukimbilia Marekani kusaka digrii. Hali kadhalika na Augustine Mrema naye akatafuta digrii. Bila shaka ni 1995 au 2000 (naweza kukosolewa).
Swali ni je, kigezo hiki bado kipo kwenye Tume Huru ya Uchaguzi? Je, wagombea wetu kutoka Vyama mbalimbali nafasi ya Urais wana-meet kigezo hiki? Kama kiliondolewa hatuoni Kuna haja ya kuwa na kigezo hiki tena kwa nyongeza iwe ni fani maalumu si kila fani. Na hapa nitapendekeza wachumi ndio watuongoze?