SoC03 Kuhusu elimu ya Yoga

SoC03 Kuhusu elimu ya Yoga

Stories of Change - 2023 Competition

Petro Masunga

Member
Joined
May 5, 2023
Posts
7
Reaction score
7
Elimu ya yoga.

_storage_emulated_0.jpg
Yoga ni elimu ambayo inahusisha viungo vya mwili pamoja na pumzi. Yoga ni moja ya somo muhimu sana katika nchi za Asia, elimu hii inafaa kwa kila rika, ukizingatia katika ufanyaji wake. yoga inafaida nyingi sana katika mwili wa binadamu.

Ukiachilia mbali chakula, yoga ni kitu cha muhimu sana kwangu kukifanya, na maanisha kila siku huwa nafanya.

Faida ya yoga, ni kuhusu saikolojia, kuondokana na uraibu mbalimbali, presha, hasira, na kuufanya mwili kuwa imara pia katika utendaji kazi wa ubongo huwa shapu na haraka zaidi, pia furaha itakuwa ni wewe, siyo kwa sababu ya vitu unavyo pata.

Kwa kutambua umuhimu wa elimu hii kwa binadamu, ninapenda kuomba pendekezo hili kwa wizara ya elimu nchini, iangalie uwezekano wa kupeleka elimu hii kwa shule za awali na sekondari, ili watoto wetu wafaidi. na kulinda afya zao.

Ukiamka asubuhi, kulingana na majukumu yako, dakika 30, ni nzuri kwako kufanya yoga, 15 kwa ajili ya mazoezi ya viungo, 15 kwa ajili ya pumzi, vuta pumzi ndefu kisha achilia polepole kwa dakika hizo, tia mkazo katika nini unafanya muda huo.

asante!
 
Upvote 1
Back
Top Bottom