Kuhusu friendly match ya Egypt Vs Tanzania

alliJAY4_four

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
173
Reaction score
94
Kutokana na match ya jana ya Egypt vs Tanzania jana, nini umejifunza? nini umekona? unahis kocha wetu ashauriwe kitu gani ili michuano ikianza rasmi tusitoe boko?
Cus midfield ya jana mimi naona kama haijafanya kitu kwakweli...feisal toto, mao dah naona kama walipoteana kabisa
 
Mechi ya jana Kocha alikua najaribu uwezo wa timu wa kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza, jambo ambalo alifanikisha ni kujilinda nampa 70% ila mashambulizi ya kushtukiza nampa 30%, na ilishindikana baada ya viungo wake kukaba vizuri lakini wakashindwa kutoa pasi zinazofika kwa washambuliaji......all in all bado tuko vizuri
 
Game iliishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…