Kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

Teremaro

Member
Joined
Mar 18, 2022
Posts
29
Reaction score
26
Ndugu wanaJamiiiForums, habari za wakati huu

Naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan Dualis kuanzia matumizi ya mafuta, upatikanaji wa Spare na changamoto zingine. Na vipi kununua used kwa mtu maana nyingi zinauzwa sana mtaani. Je, zinakuwa kuna changamoto inayopelekea hizi gari kuuzwa, na je Bora kuagiza nje au hata used inafaa?

Naomba ushauri wenu, naielewa sanaa hii gari
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…