M man_fire Member Joined May 8, 2015 Posts 34 Reaction score 11 Jun 5, 2015 #1 Jamani kwa mtu anayeelewa kuhusu ununuaji wa hisa na faida zake nikingeomba anieleweshe. Mfano nikinunua hisa za million 5 kwa muda wa miaka miwili naweza pata faida kiasi gani?
Jamani kwa mtu anayeelewa kuhusu ununuaji wa hisa na faida zake nikingeomba anieleweshe. Mfano nikinunua hisa za million 5 kwa muda wa miaka miwili naweza pata faida kiasi gani?