Kuhusu Hisa, sina uelewa

Kuhusu Hisa, sina uelewa

man_fire

Member
Joined
May 8, 2015
Posts
34
Reaction score
11
Jamani kwa mtu anayeelewa kuhusu ununuaji wa hisa na faida zake nikingeomba anieleweshe. Mfano nikinunua hisa za million 5 kwa muda wa miaka miwili naweza pata faida kiasi gani?
 
Back
Top Bottom