Kwani Kuna ubaya gani uliotokea?Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli,leo nimekusikia ukimjibu Makonda kuwa Unatupatia watu wa Ubungo pesa za Kiasi cha Tsh Billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya baada ya yeye binafsi Kukuomba.
Mheshimiwa nakukumbusha wewe na Wasaidizi wako wote kuwa Mwaka huu 2019 Mwezi wa 2 Tarehe 28 Baraza la Manispaa Ubungo lilipitisha Kiasi cha Tsh billioni 84 kuwa bajeti yake ya 2019/2020.
Katika Bajeti hiyo Sisi Manispaa tulitenga kiasi cha Tsh Millioni 250 kwa ajili ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,na tukaiomba serikali kupitia Ruzuku za Miradi ya Maendeleo mnazotushushia mtuletee kiasi cha Tsh Billioni 1.5
July 2019 Bunge likapitisha Bajeti ya TAMISEMI ikiwemo maombi ya pesa zote mbili ,ile ya Wilaya na zile za mapato ya Halmashauri.
Na July hiyohiyo wakati tunafunga Mkutano Mwisho wa Mwaka 2018/2019 katika Baraza la Madiwani nikakushukuru wewe Binafsi na Serikali kuu kutushushia kiasi cha Billioni 3 Pesa za Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri,Billioni 1 ya Ujenzi wa kituo cha Afya Kimara Mwisho, na hizo billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya wilaya.
Ila kosa lake Mkuu wa Mkoa nililelile ulilosema wakati Ufunguzi wa Kiwanda Cha Mabomba,ulisema anajishughulisha na Mambo yasiyo ya Msingi na ajui Miradi yoyote katika Mkoa wake,
leo si unaona kakuomba tena kitu kilekile ulichokuwa tayari umeshakifanyia kazi na kukipatia Ufumbuzi,!!
Akiendelea hivyo kuna Siku atakuomba Pesa za Ujenzi wa Flyover Ubungo,Asijue kuwa Mradi upo asilimia 50.
MWISHO
Sisi Viongozi wa Upinzani,Mwanzo tulikuwa tunashiriki Vizuri Mikutano yako tukiamini ni kwa Maslahi ya Taifa,
ila kwa Sasa hatuji tena katika Mikutano yako,ambayo tunajua Mkuu wa Mkoa atashiriki,kwa Sababu amekuwa akitumia Mikutao yako kutudhalilisha Viongozi wenzie mbele yako
Na wewe tunasikitika ujawahi kumkemea hata Mara Moja, kiasi tunafikiria wakati mwingine anatumwa kufanya hivyo au Viongozi wetu Mnafurahia Udhalilishaji huo kwa viongozi wenzie,
Nasisi hatuji kuepusha Shari Mkuu!!
Boniface Jacob
Mstahiki Meya Ubungo
Meya Jacob umefanya vizuri kujibu kauli ya Makonda kwa wakati. Lakini ili majibu yako yawafikie walengwa muhimu ambao ni wapiga kura wa jimbo la ubungo na Mheshimiwa Rais inakubidi kufanya kazi ya ziada kwa kuyarudia mara kwa mara bila kuchoka na kwa kutumia media sahihi. Ikumbukwe madai ya Makonda dhidi ya wapinzani ameyatoa mbele ya vyombo vingi vya habari na ninyi hamjapata nafasi ya kujibu mapigo. Hata hivyo kwakuwa sasa mnao ushahidi kwamba madai ya Makonda mbele ya Rais hayakuwa sahihi mnayo nafasi ya kugeuza propaganda zake ikawa silaha ya kupata ushindi mwakani kwa kuonyesha mnawajali wapiga kura wenu licha ya vikwazo na udhalilishwaji. Hongera Meya Jacob.Kwani Kuna ubaya gani uliotokea?
Kwani Kuna faida gani kwa Taifa wewe kuhudhuria kwenye matukio ya kitaifa?
Kwani hiyo pesa bil1.5 ikitolewa ili ujenzi uanze Mara moja Kuna shida gani?
Kwani watu kuitwa wezi Ni kosa?
Mbona Kuna viongozi wetu Wakubwa walisema kuwa Rais wao Anaumwa na yupo mahututi na maisha yakaendelea!
Mh. Meya unaheshima kubwa Sana katika manispaa yako jifunze kutafakari Mambo kabla hujayatoa kwa watu kulialia kwa vitu vidogo vidogo Kama hivi nikumuonyesha Adui madhaifu uliyonayo.
Soma vizuri uelewe kilichoandikwa na Meya MkuuKwani Kuna ubaya gani uliotokea?
Kwani Kuna faida gani kwa Taifa wewe kuhudhuria kwenye matukio ya kitaifa?
Kwani hiyo pesa bil1.5 ikitolewa ili ujenzi uanze Mara moja Kuna shida gani?
Kwani watu kuitwa wezi Ni kosa?
Mbona Kuna viongozi wetu Wakubwa walisema kuwa Rais wao Anaumwa na yupo mahututi na maisha yakaendelea!
Mh. Meya unaheshima kubwa Sana katika manispaa yako jifunze kutafakari Mambo kabla hujayatoa kwa watu kulialia kwa vitu vidogo vidogo Kama hivi nikumuonyesha Adui madhaifu uliyonayo.
hivi kwanini mnapenda kukurupuka? Zipeni nafasi bongo zenuSasa kwani Makonda kafanya kosa gani? Kumbe kakumbushia mliokuwa mnayaomba kila leo?
Ungekuwa unahudhuria ingerahisi kwako kujibu hoja papo kwa papo. Kususa kwako ndiko Kuna wagharimu. Sasa humu anasoma nani? Kwani mzee yupo humu au wanaomoelekeaMeya Jacob umefanya vizuri kujibu kauli ya Makonda kwa wakati. Lakini ili majibu yako yawafikie walengwa muhimu ambao ni wapiga kura wa jimbo la ubungo na Mheshimiwa Rais inakubidi kufanya kazi ya ziada kwa kuyarudia mara kwa mara bila kuchoka na kwa kutumia media sahihi. Ikumbukwe madai ya Makonda dhidi ya wapinzani ameyatoa mbele ya vyombo vingi vya habari na ninyi hamjapata nafasi ya kujibu mapigo. Hata hivyo kwakuwa sasa mnao ushahidi kwamba madai ya Makonda mbele ya Rais hayakuwa sahihi mnayo nafasi ya kugeuza propaganda zake ikawa silaha ya kupata ushindi mwakani kwa kuonyesha mnawajali wapiga kura wenu licha ya vikwazo na udhalilishwaji. Hongera Meya Jacob.
Dah! Sasa ndio nimeelewa. Siku zote huwa mnasema Rais Magufuli anatoa tu hela ambazo hazipitishwi na Bunge,Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli,leo nimekusikia ukimjibu Makonda kuwa Unatupatia watu wa Ubungo pesa za Kiasi cha Tsh Billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya baada ya yeye binafsi Kukuomba.
Mheshimiwa nakukumbusha wewe na Wasaidizi wako wote kuwa Mwaka huu 2019 Mwezi wa 2 Tarehe 28 Baraza la Manispaa Ubungo lilipitisha Kiasi cha Tsh billioni 84 kuwa bajeti yake ya 2019/2020.
Katika Bajeti hiyo Sisi Manispaa tulitenga kiasi cha Tsh Millioni 250 kwa ajili ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,na tukaiomba serikali kupitia Ruzuku za Miradi ya Maendeleo mnazotushushia mtuletee kiasi cha Tsh Billioni 1.5
July 2019 Bunge likapitisha Bajeti ya TAMISEMI ikiwemo maombi ya pesa zote mbili ,ile ya Wilaya na zile za mapato ya Halmashauri.
Na July hiyohiyo wakati tunafunga Mkutano Mwisho wa Mwaka 2018/2019 katika Baraza la Madiwani nikakushukuru wewe Binafsi na Serikali kuu kutushushia kiasi cha Billioni 3 Pesa za Ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri,Billioni 1 ya Ujenzi wa kituo cha Afya Kimara Mwisho, na hizo billioni 1.5 za Ujenzi wa Hospitali ya wilaya.
Ila kosa lake Mkuu wa Mkoa nililelile ulilosema wakati Ufunguzi wa Kiwanda Cha Mabomba,ulisema anajishughulisha na Mambo yasiyo ya Msingi na ajui Miradi yoyote katika Mkoa wake,
leo si unaona kakuomba tena kitu kilekile ulichokuwa tayari umeshakifanyia kazi na kukipatia Ufumbuzi,!!
Akiendelea hivyo kuna Siku atakuomba Pesa za Ujenzi wa Flyover Ubungo,Asijue kuwa Mradi upo asilimia 50.
MWISHO
Sisi Viongozi wa Upinzani,Mwanzo tulikuwa tunashiriki Vizuri Mikutano yako tukiamini ni kwa Maslahi ya Taifa,
ila kwa Sasa hatuji tena katika Mikutano yako,ambayo tunajua Mkuu wa Mkoa atashiriki,kwa Sababu amekuwa akitumia Mikutao yako kutudhalilisha Viongozi wenzie mbele yako
Na wewe tunasikitika ujawahi kumkemea hata Mara Moja, kiasi tunafikiria wakati mwingine anatumwa kufanya hivyo au Viongozi wetu Mnafurahia Udhalilishaji huo kwa viongozi wenzie,
Nasisi hatuji kuepusha Shari Mkuu!!
Boniface Jacob
Mstahiki Meya Ubungo
halafu mnataka Rais awasaidie ,ili kwenye kampeni mdanganye wananchi
jiwe naye pia msahaulifu kitu ya february mwaka huu si juzi tu?Meya Jacob umefanya vizuri kujibu kauli ya Makonda kwa wakati. Lakini ili majibu yako yawafikie walengwa muhimu ambao ni wapiga kura wa jimbo la ubungo na Mheshimiwa Rais inakubidi kufanya kazi ya ziada kwa kuyarudia mara kwa mara bila kuchoka na kwa kutumia media sahihi. Ikumbukwe madai ya Makonda dhidi ya wapinzani ameyatoa mbele ya vyombo vingi vya habari na ninyi hamjapata nafasi ya kujibu mapigo. Hata hivyo kwakuwa sasa mnao ushahidi kwamba madai ya Makonda mbele ya Rais hayakuwa sahihi mnayo nafasi ya kugeuza propaganda zake ikawa silaha ya kupata ushindi mwakani kwa kuonyesha mnawajali wapiga kura wenu licha ya vikwazo na udhalilishwaji. Hongera Meya Jacob.
Hao wapinzani kina Boniface kutwa kumtukana raisi na kugomea Bajeti bungeni,
Mikutano ya Serikali hamtokei , halafu mnataka Rais awasaidie ,ili kwenye kampeni mdanganye wananchi
Shwain
Hivi umeelewa lakini kinachozungumzwa hapa? Naona kama upo nje ya topic kabisa!!! Halafu siku hizi hakuna mikutano ya serikali mkuu!!!! Zamani kwenye dhifa za kitaifa ulikuwa huwezi ona mi sare ya chama, lakini siku hizi kila kitu ni siasa, warudishe bungeni muswaada ili turudi mfumo wa chama kimoja tu, ili ieleweke kuliko huu unafiki unaoendelea!!!Hao wapinzani kina Boniface kutwa kumtukana raisi na kugomea Bajeti bungeni,
Mikutano ya Serikali hamtokei , halafu mnataka Rais awasaidie ,ili kwenye kampeni mdanganye wananchi
Shwain
Kwani Kuna ubaya gani uliotokea?
Kwani Kuna faida gani kwa Taifa wewe kuhudhuria kwenye matukio ya kitaifa?
Kwani hiyo pesa bil1.5 ikitolewa ili ujenzi uanze Mara moja Kuna shida gani?
Kwani watu kuitwa wezi Ni kosa?
Mbona Kuna viongozi wetu Wakubwa walisema kuwa Rais wao Anaumwa na yupo mahututi na maisha yakaendelea!
Mh. Meya unaheshima kubwa Sana katika manispaa yako jifunze kutafakari Mambo kabla hujayatoa kwa watu kulialia kwa vitu vidogo vidogo Kama hivi nikumuonyesha Adui madhaifu uliyonayo.
Mkuu maswala ya mavazi hayana mipaka hata wewe ungeweza vaa Yale magwanda yetu ya kikamanda na ukaa viti vya mbelembele hakuna Ambaye angekuzuia.Hivi umeelewa lakini kinachozungumzwa hapa? Naona kama upo nje ya topic kabisa!!! Halafu siku hizi hakuna mikutano ya serikali mkuu!!!! Zamani kwenye dhifa za kitaifa ulikuwa huwezi ona mi sare ya chama, lakini siku hizi kila kitu ni siasa, warudishe bungeni muswaada ili turudi mfumo wa chama kimoja tu, ili ieleweke kuliko huu unafiki unaoendelea!!!