Kuhusu hospital ya wilaya ya Ubungo, ni propaganda au Rais kapotoshwa na RC?

Hio miradi sijawahi kumsikia hata mbunge mmoja wa Zanzibar, hivi miradi hii Zanzibar haina nafasi yake ?
 

Mhe. Zitto alishapata kudai kuwa siku hizi Ikulu ndiyo inagawa fedha za serikali; siyo wizara ya fedha kama utaratibu ulivyo. Nilipata taabu kuelezea hiyo kauli lakini taratibu nimeanza kuelewa. Ziara za rais zimekuwa zikiambatana na kuombwa na kugawa fedha za umma. This is unprecedented in the history of this country but it has now become a new normal! Hata Wabunge wa upinzani na mameya nao wanamuomba rais fedha? Incredible!
 
Hao wapinzani kina Boniface kutwa kumtukana raisi na kugomea Bajeti bungeni,

Mikutano ya Serikali hamtokei , halafu mnataka Rais awasaidie ,ili kwenye kampeni mdanganye wananchi
Rais awasaidie? Kwani rais anatoa misaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…