Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
Aiseee maumivu ni makaliGegeda tu pengine mkeo wanamgegeda pia.
Basi inatoshaUzuri wa hao viumbe wana rutuba ya ajabu, ukigusa tu inanasa.
Kila la heri katika kuvunja familia yako kwa starehe ya kupita.
Jichanganye tu utaona nyumbani kwako padogo mno...Dah huyu beki tatu wangu nilikua sijamcheki vizuri
Wikiend tulitoka na familia niliwapeleka kuogelea
Sasa nguo alizovaa beki tatu wakati anaoga ni noma, umbo limejichora halafu ana kimzigo fulani hivi
Huyu beki tatu muda mwingi anakua na mimi ila nikifikiria athari za uzinzi nafsi inasita.
AsanteKila la kheri
πππDahJichanganye tu utaona nyumbani kwako padogo mno...
SawaWanaume tumeumbiwa kutamani.
Mkuu, mkeo anatosha sana.
Bora ukachepuke nje kuliko ndani mwako.
Nimeahirisha huyu shetani atokeNayaona majuto baada ya hili
Shindwa!Dah huyu beki tatu wangu nilikua sijamcheki vizuri
Wikiend tulitoka na familia niliwapeleka kuogelea
Sasa nguo alizovaa beki tatu wakati anaoga ni noma, umbo limejichora halafu ana kimzigo fulani hivi
Huyu beki tatu muda mwingi anakua na mimi ila nikifikiria athari za uzinzi nafsi inasita.
Kama kawaAu sio.....
ππππ»ππ»sawa"Nkulu wa nchito" kwa kikwetu maana yake ni Mkuu wa Kaya. Sasa ndugu yangu hiyo kaya yako utaiharibu kisa huyo beki tatu. π
Utaanza kula beki tatu, atakunogea mwisho anampindua mama mjengo. Unafukuza watoto na mama yao, unamuoa beki tatu!
Linda heshima yako, waachie Gen-Z huyu beki tatu. π